1846
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| ►
◄◄ |
◄ |
1842 |
1843 |
1844 |
1845 |
1846
| 1847
| 1848
| 1849
| 1850
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1846 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 10 Februari - Wamormoni nchini Marekani wanaanza kuhamia kutoka sehemu za Illinois kuelekea Utah wakiongozwa na Brigham Young
- 14 Februari – Rais wa Marekani James K. Polk anatangaza utekaji wa Jamhuri ya Texas
- 25 Aprili - mapigano baina vikosi vya Marekani na Mexiko yanaanzisha vita ya Marekani na Mexiko itakayoendelea hadi Februari 1848
- 16 Juni - Uchaguzi wa Papa Pius IX
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 5 Januari - Rudolf Christoph Eucken (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908)
- 30 Januari - Mtakatifu Anjela wa Msalaba, bikira kutoka Hispania
- 5 Mei - Henryk Sienkiewicz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905)
- 12 Oktoba - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
Waliofariki
hariri- 21 Februari - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1 Juni - Papa Gregori XVI
- 16 Julai - Mtakatifu Maria Magdalena Postel, bikira na mwanzilishi nchini Ufaransa
- 31 Julai - Bernhard Heine, mgunduzi wa osteotomi kutoka Ujerumani